TMA YATOA TAADHARI YA MVUA KUBWA.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taadhari kwa wananchi wa Mikao ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Shinyanga, Tabora, Kigoma pamoja Katavi ambapo kunatarajia kutokea mvua kubwa katika baadhi ya maeneo machache katika kipindi cha siku tano kuanzia mwezi Novemba 10, 2022.
Kiwango cha wastani cha athari zinazoweza kutokea kwa baadhi ya makazi ni kuzungukwa na maji, ucheleweshaji wa shughuli za usafirishaji pamoja na kusimama kwa shughuli za kiuchumi.
Post a Comment