Ads

ASKARI 300 KUWASAKA PANYAROD DAR

 



Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema takrabani Askari 300 watakuwa katika opereseheni ya kuwasaka na kuwakamata Panya Road katika Jiji hilo.


Makalla amewataka Wazazi na walezi kuwa makini na vijana wao na kuongeza kuwa mzazi au mlezi atakayepotelewa na kijana wake kwa wakati huu, atatakiwa kwenda kumtafuta hospitalini au kwenye vituo vya polisi.

Makalla ameyasema hayo leo Septemba 15, wakati wa ziara yake katika Kata ya Zingiziwa Chanika, Dar es Salaam.

No comments