Ads

DC GONDWE ATOA MAELEKEZO KUSAIDIA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALAMU

 



Na Francisco Peter, Dar es Salaam.

Jamii imetakiwa kuwa mastali wa mbele katika kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalamu wanabaini ili waweze kupatiwa matibabu kwa haraka.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe kwenye tamasha maalum la kuwapa fursa watoto wa Tanzania wenye mahitaji maalum ambalo limefanyika katika Kijiji cha Makumbusho.

Tamasha hilo limekwenda sambamba na Kauli mbiu inasemayo haki sawa kwa wote hivyo wazazi na walezi wametakiwa kuepukana na imani potofu ya kuwaficha ndani watoto wenye mahitaji maa


No comments