SERIKALI WAKUTANA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUJADILI MAANDALIZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.Mhe.Gerson Msigwa akizungumza katika mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijinii Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, ya Habari Mhe.Mohamed Khamis Abdalah akifungua mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijinii Dar es Salamm.
Kamisaa wa Sensa Tanzania Zanzibar Balozi Mohamed Hamza akizungumza katika mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijinii Dar es Salaam.
Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Mhe.Anna Makinda akizungumza katika mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijinii Dar es Salaam.
Kaimu Mtakwimu Mkuu wa Serikali Bi.Lucy Minja akizungumza katika mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijinii Dar es Salaam.
Post a Comment