Ads

Habari picha Mkurugenzi wa Viwanda, Leo Lyayuka, akifunga Maonesho ya Nne ya Viwanda Jijini Dar es Salaam.



Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara, Edwin Rutageruka akimkabidhi zawadi ya Mkoba unaotokana na Bidhaa za ngozi,Mkurugenzi wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Viwanda, Bw. Leo Lyayuka(kulia) mara baada ya kufunga Maonesho hayo leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Viwanda, Bw. Leo Lyayuka (wa pili kulia), akimkabidhi cheti cha Ushiriki, Amri Hamza kutoka kampuni ya Amir Hamza Ltd na Amimza Ltd, mara baada ya kufunga maonesho hayo leo Desemba 09, 2019 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Viwanda, Bw. Leo Lyayuka (wa pili kulia) , akimkabidhi cheti cha Ushiriki, Frances Wambuga kutoka kampuni ya Bakhresa, mara baada ya kufunga maonesho hayo leo Desemba 09, 2019 Jijini Dar es Salaam,
Mkurugenzi wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Viwanda, Bw. Leo Lyayuka (wa pili kulia) , akimkabidhi cheti cha Ushiriki, Afisa Habari na Mwasiliano Kutoka Mamlaka ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Roberta Makinda, mara baada ya kufunga maonesho hayo leo Desemba 09, 2019 Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Viwanda, Bw. Leo Lyayuka (wa pili kulia), akimkabidhi cheti cha Ushiriki, Meneja Mawasiliano kutoka Wakala wa Vipimo (WMA), Irene John, mara baada ya kufunga Maonesho hayo leo Desemba 09, 2019 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Viwanda, Bw. Leo Lyayuka (wa pili kulia), akimkabidhi cheti cha Ushiriki, Dochi Serif Kibaraza, kutoka kiwanda cha Sukari Zanzibar, mara baada ya kufunga Maonesho hayo leo Desemba 09, 2019 Jijini Dar es Salaam.
Mshine ya kutengeneza Bidhaa kutoka SIDO zikiwa katika maoenesho ya Nne ya Viwanda na Bidhaa za ndani yaliyoanza Desemba 04, 2019 na kuhitimishwa leo Desemba 05, 2019 na Mkurugenzi wa Viwanda kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Leo Lyayuka.


Wanafunzi kutoka shule za Jiji la Dar es Salaam, wakionesha gwaride la kumuongoza mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Viwanda kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Leo Lyayuka, mara baada ya kuwasili kufunga maonesho hayo  yaliyoanza Desemba 04, 2019 na kuhitimishwa leo Desemba 05, 2019.

No comments