ALBAM YA NYIMBO ZA KIZALENDO,TANZANIA MPYA YATAMBULISHWA DAR
Msanii anaye mba nyimbo za kuhamasisha uzalendo ,Olvia Mallonga alyeko upande wa kulia ,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu albam yake mya aliyo ielekeza zaidi katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano,aliye upande wa kushoto ni afisa habari wa dara ya habari maelezo
Na:John Luhende
mwambawahabari
Msanii wakitanza anaye imba nyimbo za uzalendo bi Olvia
Mallonga amewataka watanzania kuweka mbele uzalendo hatakama wana haliduni ya
kimaisha kwa Sasa ila waamini kuwa iposiku watafanikiwa kutoka na na mipango
mizuri ya maendeleo inayopangwa na serikali ya awamu yatano iliyo dhamiria
kuifikisha nchi katika uchumi wa kati na kusisitiza ujenziwa Viwanda.
Msanii huyo ameyasema hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam, alipokuwa akitambulisha album yake mpya ya DVD aliyopa jina la Tanzania mpya ikiwa katika kuadhimisha mmoja wa serikali ya awamu ya tano inayo ongozwa na Rais John Pombe Magufuli.
’’kwa walio ndani na nje ya nchi tukitambua ya kuwa Tanzania hii mpya ya awamu ya tano kwakweli ina hitaji sote tuwe wazalendo mia
kwa mia tukitanguliza mbele maslahi ya Taifa letu kwa fada ya vizazi vijavyo”
Alisema huu n wakati mwafaka wa kwa watanzania kuzinduka na
kufanya mema kwa nchiyetu na kujifunza kutumia hisia zetu binafsi na utashi
tuliopewa na Mungu kwa kupitia njia kuu za fahamu na kuona na kusikia na
kufkia maamuzi tuliyo yapima wenyewe na sikufuata mkumbo na
properganda bali tuweke nguvu kwenye
masuala yenye tija kwa taifa.
‘’Umoja na uzalendo wetu ndiyo mafanikio yetu na taifa letu
tukibadilishana mtzamo na fikra na tuwe watu wa hapakazitu kamailivyo
bainishwa katika wimbo wawangu katika albam ya Tanzania mpya ‘’
Olvia Mallonga ni kati ya wasaani wachachenchini wanaoimba nyimbo
za kuhamasisha uzalendo, na amesema hatachoka kuhamasisha jamii
kuwa wazalendo nchi yao kwakuwa nikazi ambayo ameipenda toka moyoni na anajisikia amani
anapo ona watanzania wana ishi kwa amani na kuheshimu sheria za nchi, mwmbaji huyu pia ni mjumbe wa kamat kuu ya mkesha mkuu wa kuliombea taifa unao fanyika uwanja wa Taifa kila mwanzo wa mwaka chini ya Askofu Mallasy.
Post a Comment