IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI.
Mwambawahabari
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiweka
sahihi kwenye kitabu cha waombolezaji baada ya kuwasili nyumbani kwa
marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi,
aliyefariki dunia tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa
kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro, akiteta
jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu IGP Said Mwema wakati walipokutana
nyumbani kwa Marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus
Matanga Mbushi, katika kambi ya Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kinondoni
jijini Dar es salaam, msiba huo ulitokea tarehe 03/03 mwaka huu huko
Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa
kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na
Jeshi la Polisi).
Maofisa wa Jeshi la Polisi wakiingiza mwili wa Marehemu
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi katika
Kanisa la Parokia ya Mt. Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es salaam
kwa ajili ya misa ya kuuaga, msiba huo ulitokea tarehe 03/03 mwaka
huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na mwili wake
kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha
na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiaga mwili
wa marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi,
katika Kanisa la Parokia ya Mt. Petro Oysterbay jijini Dar es salaam
msiba huo ulitokea tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa
kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la Polisi).
Post a Comment