MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.
Na. John
Luhende
Mwamba wa habari
Jumla ya
watoto 678,000 kutoka shule zamsingi za serikali na binafsi 708 mkoani Dar es salaam wanatarajiwa kupatiwa
kinga dhidi ya magonjwa ya Kichocho na Minyoo ilikuwakinga na madhara ya saratani ya kibofu
ambayo yanaweza kuwapata ukubwa
ikiwa wataugua magonjwa hayo wakati wa utoto.
Akizungumza
katika uzinduzi wa zoezi la utoajidawa kwa watoto hao Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Paul Makonda amesema mkoa huo umejipanga kuhakikisha kila mtoto anapewa
kingahiyo na kuwataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao katika vituo vya
vyakutolea huduma hiyo ilikuwaepusha na madhara ya magonjwa hayo.
Aidha
Makonda amewataka wananchi wa mkoa wa
Dar es salaam kutoingiza masuala ya imani potofu khusu zoezi hilo kwani kinga
hiyo itawasaidia watoto hao na taifa kwa kuwa na wananchi wenye afya badala ya
kutumia gharamakubwa katika kutibu
magonjwa ya saratani.
Kwa upande wake
mganga mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Grace Magembe amesema zoezi hilo
halihusishi kuchoma sindandano kamailivyo katika chanjo bali watoto watapewa
kumeza vidonge na amewaka wananchi wa
mkoa huo kushiriki kikamilifu zoezihilo
huku akieleza madhara ya magonwa hayo.
Post a Comment