Ads

PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI SIKU YA KUFUNGA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM.



Mwamba wa habari
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ally Idd, akipata maelezo kutoka kwaMkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA)Gaudensia Simwanza kuhusu shughuli za mamlaka hiyo, wakati wa ufungaji wa Maonyesho ya 42ya Kimataifa ya Biashara,Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.(Picha na John Luhende).

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ally Idd, akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Mahusiano ya Jamii, William Kallaghekurugenzi wa Benki ya NBC kuhusu shughuli za mamlaka hiyo, wakati wa ufungaji wa Maonyesho ya 42ya Kimataifa ya Biashara,Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
 NABU Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hammad Masauni akipata maelezo, kutoka kwa Ofisa wa Polisi Idara ya  Usalama Barabarani, Koplo Faustine Ndunguru, kuhusu masuala ya usalama barabarani,katika banda la Polisi, Kwenye Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
 WANANCHI wakiangalia namna  ya kutengeneza mkaa mbadala, kwenye banda la Wajasiriamali  wakatiwa Maonyesho ya 42ya Kimataifa ya Biashara,Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ally Idd, akimkabidhi cheti kwa Mshindi wa Tatu wa kundi la Chakula, Dawa na Vinywaji,Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni ya Follow the  Honey Tanzania Kaizirege Camara, wakati hafra ya utoaji wa vyeti kwa washindi wa nafasi ya pili na ya tatu zilizoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE),katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara, Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.(Picha na John Luhende).


WANANCHI wakiamuangalia mchoraji Furaha Mwakitalu kutoka taasisi ya Mwakitalu Arts and Designer, katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara,Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam



WANANCHI wakipiga pichana simba aliyekaushwa kitaalamu katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii, katika Maonyesho ya 42ya Kimataifa ya Biashara,Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.

















No comments