Ads

MATUKIO KATIKA PICHA RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KAMPUNI YA DAR COACH.

Mwambawahabari












Mkurugenzi Manmeet Lal (Sunny) akielekeza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar  es Salaam.
Mh Paul Makonda (kushoto) akiongea jambo na Mkurugenzi wa kampuni ya Dar  Coach Ltd  Manmeet Lal(Sunny).


RC Makonda akiweka saini katika kitabu cha wageni alipofanya Ziara katika kampuni Ya Dar Coach iliyopo Mwandege Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.

No comments