Ads

CHADEMA ,IOMBEENI YAPATA PIGO TENA

CHAMA cha CCM leo kimempokea, Muslim Hassan Ally ambaye alikuwa mjumbe wa kamati kuu na mjumbe baraza la wadhamini la Chadema.

Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es salaam  eneo la Pugu.  Mwaka 2015 Muslim Hassan alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ilala kupitia Chadema  na amepokelewa  na makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara, Philipo Mangula

No comments