Ads

Vijana watatu wahukumiwa kifo kwa kumvua nguo mwanamke Kenya

Vijana watatu walioshikiliwa na polisi kwa mda mrefu kwa kosa la kumvamia na kumvua nguo mwanamke mmoja ndani ya basi nchini Kenya wamehukumiwa kifo kwenye mahakama moja mjini Nairobi.
Mtandao wa BBC Swahili umeripoti kuwa wanaume hao watatu wamehukumiwa kifo baada ya kukutwa na hatia ya makosa hayo likiwemo la kumuibia mwanamke huyo aliefahamika kwa jina la Jilo Kadida..
Wanaume hao watatu ni dereva wa basi Nicholas Mwangi, na makondakta wake Meshack Mwangi na Edward Ndung’u.

No comments