Ads

UHAMIAJI MKOA WA DAR ES SALAAM YA MSHIKILIA MPAKISTAN KWA KOSA LA KUISHI NCHINI KAMA RAIA WA TANZANIA

www.mwambawahabari.blogspot.com


Afisa uhamiaji  mkoa wa Dar es salaam John Msumule akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uhamiaji haramu mezani nipesa jumla ya 700000 alizo  honga mhamiaji haramu kwa afisa uhamiaji  (picha zote na John Luhende )



Afisa uhamiaji mkoa wa Dar es salaam aki onyesha kitamulisho cha mhamiaji haramu  Raia wa Pakistani  bw Naumani Khalilur  Rehman Muhammad  mwenye miaka 33

Afisa Uhamaji  akionyesha magazeti  yanayonesha jinsi  mhamiaji huyo alivyo shinda shindano la kutunisha misuli mwaka 2014

Jinsi alivyo  shinda shindano hilo

                                                      Jinsi alivyo  shinda shindano hilo
Mhamaji akizungumza na waandishi wa habari nakukili  kusaidiwa na  wa T anzania   mwambawahabariblog



No comments