Serikali yawakutanisha vijana kuunda kanuni za uendeshaji Baraza la Vijana Taifa
: Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye ulemavu Bw. Eric
Shitindi akizungumza na vijana (hawapo pichani) alipokuwa akifungua kikao cha
wadau wa maendeleo ya vijana katika kuchangia uandaaji wa kanuni za uendeshaji
wa Baraza la Vijana Taifa jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa maendeleo ya vijana katika kuchangia uandaaji wa kanuni za uendeshaji wa Baraza la Vijana Taifa jana jijini Dar es Salaam.
Mwezeshaji Bw. Patrick Kipangula (aliyesimama) akitoa mada kwa wadau wa maendeleo ya vijana wakati wa kikao cha kuchangia uandaaji wa kanuni za uendeshaji wa Baraza la Vijana Taifa jana jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa maendeleo ya vijana akichangia mada wakati wa kikao cha kuchangia uandaaji wa kanuni za uendeshaji wa Baraza la Vijana Taifa jana jijini Dar es Salaam.
Wawakilishi kutoka Mamlaka mbalimbali za Serikali, Asasi za
kiraia, Vyama vya siasa, Taasisi za kidini, Vijana wenye ulemavu, Shule za
sekondari na Shule za msingi wakifuatilia kwa makini mada zilizokua zikiendelea
wakati wa kikao cha kuchangia uandaaji wa kanuni za uendeshaji wa Baraza la
Vijana Taifa jana jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye
ulemavu Bw. Eric Shitindi (watatu kushoto waliokaa) katika picha ya pamoja na
vijana wenye ulemavu wakati wa kikao cha kuchangia uandaaji wa kanuni za
uendeshaji wa Baraza la Vijana Taifa jana jijini Dar es Salaam. Wapili kulia
(waliokaa) ni Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi, wapili kushoto
ni Mwenyekiti wa kikao Bw. Godwin Kunambi, na wanne kulia (waliosimama) ni
Mkurugenzi msaidizi Vijana Bibi. Ester Riwa
Picha na: Genofeva Matemu
Post a Comment