Breaking News: Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne -2015 Yametoka....Yatazame Hapa > mwambawahabariblog
wa mwaka 2015 yanayoonesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa asilimia 0.80.
Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde
amesema kuwa jumla watahiniwa 272,947 sawa na 67.53% ya watahiniwa wote
waliofanya mtihani wa kidato cha nne 2015 wamefaulu tofauti na mwaka 2014
ambapo ufaulu ulikuwa 68.33%.
Msonde amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, waliofaulu ni 240,996
Msonde amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, waliofaulu ni 240,996
sawa na asilimia 67.91 ya waliofanya mtihani, wasichana wakiwa 11,125 (64.84)
na wavulana wakiwa 124,871 (71.09).
Amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, ufaulu umeshuka kwaasilimia
Amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, ufaulu umeshuka kwaasilimia
1.85 ikilinganishwa na mwaka 2014.
Aidha kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea, Dkt Msonde amesema
Aidha kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea, Dkt Msonde amesema
watahiniwa 31,951 sawa na asilimia 64.80 wamefaulu ikilinganishwa na
watahiniwa 29,162 (61.12) waliofaulu mwaka 2014.
Kwa upade wa ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa
Kwa upade wa ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa
wa shule, Msonde amesema waliopata daraja la kwanza ni 9,816 sawa na
asilimia 2.77, daraja la pili ni 31,986 sawa na asilimia 9.01, daraja la tatu ni
48,127 sawa na asilimia 13.56.
Aidha waliopata daraja la nne ni 240,996 sawa na asilimia 67.91 na waliopata
Aidha waliopata daraja la nne ni 240,996 sawa na asilimia 67.91 na waliopata
daraja la sifuri (waliofeli) ni 113,489 sawa na asilimia 32.09.
Watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa kati ya daraja la kwanza hadi la tatu ni
Watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa kati ya daraja la kwanza hadi la tatu ni
94,941 sawa na asilimia 24.73 wavulana wakiwa 56,603 sawa na 29.99 na
wasichana 38,338 sawa na asilimia 19.63.
Amesema kwa upande wa ufaulu wa masomo kwa watahiniwa wa shule, ufaulu
Amesema kwa upande wa ufaulu wa masomo kwa watahiniwa wa shule, ufaulu
wa juu kabisa ni wa somo la Kiswahili ambapo asilimia 77.63 wamefaulu huku
ufaulu wa chini kabisa ukiwa ni wa somo la Basic Mathematics ambapo asilimia
16.76 wamefaulu.
Matokeo hayo yamepangwa katika mfumo wa madaraja (Division) badala ya ule
Matokeo hayo yamepangwa katika mfumo wa madaraja (Division) badala ya ule
wa wasatani wa alama (GPA) kama ambavyo iliagizwa na Waziri wa Elimu,
Post a Comment