WAHARIRI WAGAZETI LILILO FUTWA,MAWIO WAJISALIMISHA POLISI DAR
Wahariri wa Gazeti la Mawio wakijisalimisha makao makuu ya Polisi jijini Dar es
Salaam leo mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta popote pale
kwaajili ya kutoa maelezo kwa kuandika habari ya upotoshaji kwa jamii, wakiwa
na Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda katika makao Makuu ya
Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.
Wahariri wa gazeti la Mawio wakizungumza leo walipokuwa wanajisalimisha
makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda akizungumza na waandishi
wa habari katika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam
kuhusiana na kufungiwa na Serikali gazeti la Mawio jana.
Post a Comment