KIGAMBONI YAPATA VIONGOZI WAPYA CWT
mwambawahabariblog
Na John Luhende
mwambawahabariblog
mwambawahabariblog
Chama cha
Walimu Wilaya mpya ya Kigamboni kimefanya uchaguzi kuchagua viongozi watakao
ongoza katika nafasi mbali mbali, za mwenyekiti , katibu ,mtunza hazina na wajumbe na wawakilishi wa kamati mbalimbali.
Awali kabla
ya kigamboni kutengwa kuwa Wilaya mwakajana 2015 ilikuwa sehemu ya Wilaya ya
Temeke nakwa mujibu wa serika kigamboni ita kuwa ni mji wa mfano katika
Tanzania na afrika Ya Mashariki nakwamipango inayo endelea hivisasa miundombinu ya kisasa yabarabara uwanja wandege,Daraja la kuula kuunganisha mjihuo nayumba za kisasa vina naendelea
kujengwa.
Uchaguzihuo
umesima na viongozi wa chama cha Walimu kutoka mkoa wa Dar es salaam, wilaya ya Ilala na Temeke na
mgeni rasmi Evorda Kanyanyaiyagiro ,uliendeshwa huru na haki ambapo wawakilishi
kutoka shule 45 za Kigamboni walishiriki uchaguzi huona kila mgombea aliridhika na matokeo yaliyo tangazwa,mgeni
rasmi katika uchaguzi huo aliwashukuru kwa kufanya uchaguzi huo kwa Amani
nakuwataka wote walichaguliwa kufanya kazi kwa bidi ili kuwatumikia wanachama
kwakusikiliza shida zao muda wote msaadawao unapo hitajika.
Waliochaguliwa
katika nafasi hizoni mwenyekiti Runyoro Justine Takahirwa aliye pata kura 41 kati ya kura zote 45 na katibu Achikuo
Mtamila aliye pata kura 40 katiya kurazote 45,na Judith Majinge aliye chaguliwa
nafasi ya mweka hazina,Sauda M salum nafasi ya mwakilishi walimu
walemavu,Samwel Abdalah Msofe nafasi ya
mwakilishi wa vijana,Ngaraba Hussein Zuwena
katibu kitengo cha wanawake, napia wajumbe nafasi nyingine za kamati mbalimbali
walichaguliwa.
Akizungumza
mara bada ya kuchaguliwa mwenyekit huyo mpya alisema walimu wanakabiliwa na
changamoto nyingi na sasa analojukumu kubwa kuwa unganisha walimu na serikali
ili changamoto hizo ziweze kutatuliwa ambazo amezitaja kuwa ni madeni wanayo
idai serikali , ukosefu wa nyumba za walimu ,na mazingira magumu ya kazi .
Naye katibu
wachamahicho Sekela Mwakyembe amewataka viongozi walio chaguliwa kuhakikisha kuwa walimu wote wanasajiliwa
katika katika form ya TVF 6 inayotambua uhalali wa mwanachama.
Pamoja na
hayo mwenyekiti wa chama cha walimu wilaya ya Temeke aliitaka swrikari kuangali
maslihahi ya walimu ili kuwapa moyo wa kufanya kazi ili kuinua kiwango cha elimu
katika wilaya hiyo na taifa kwa ujumla ,kwakuwa ualimu ni kama taaluma zingine
hivyo nivema serikali ikwathamini na kuwa timizia mahitaji yao ikwemo kupandishwa madarajaya kazi.
Post a Comment