SHIRIKA LA POSTAL KUBORESHA HUDUMA ZAKE KUKABILI USHINDANI
Kaimu
mkurugenzi mkuu washirika la Posta bw.Fotunatu Kapinga ,kushoto akizungumza na
waandishi wa habari hawapo picha (picha Elisa Shunda
mwambawahabariblog
Shirika la
posta Tanzania mwakahuu lita tekeleza
mpango wa mifumo ya miundo mbinu yake kwa lengo la kusambaza huduma zakisasa
za kimtandao katika maeneo mengi ya nchi ili kuchangia juhudi kubwa zina zo
zinazo fanywa na serikali za kuleta maendeleo ya haraka kwa wananchi.
Hayo yamesemwa na kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Fotunatus Kapinga, jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo ameongeza kuwa chini ya mpango huo huduma kadhaa ikiwa ni pamoja na ile ya usafirishaji na usambazaji wa barua usiku kucha ,vifurushi ,vipeto ,magazeti na bidhaa nyingine itaboreshwa
Kaimu meneja
mkuu wa biasha wa shirika la Postal
bi.Janet Msofe akijibu maswali ya waandishi wa habari( hawapo pichani)
Pamoja na
hayo mewataka wananchi wanao tumia huduma za postal kuto kutosafirisha vitu
vyenye milipuko ,wanyama hai , nyara za serikali vifaavya mionzi,vyakula
vinavyooza , betrii za aina mbalimbali , vimiminika,fedha haramu na vitu
vingine hatarishi.
Post a Comment