MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015/16 SOMA ZAIDI HAPA
mwambawahabariblog
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa
wanafunzi waliofanya mtihani mwaka 2015 ambapo wanafunzi 324,068 sawa
89% kati ya
wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.
Post a Comment