Ads

BANK YA NMB YAINGIA MAKUBALIANO NA KAMPUNI YA UUZAJI MATRECTA DUNIANI YA JOHN DEER



Na Johnn Luhende 
mwambawahabariblog
Kampuni maarufu kwa uuzaji matrecta Duniani  ya John Deer imeingia makubaliano na Bank ya NM Bili kutoa mikopo nafuu kwa wakulima  wanaoa chipukia nchini  yenye nia ya kuwarahisishia  kupata vfaa vya kilimo .


Akizungumza na waandishi wa habari jijijni Dar es salaam na waandishi wa habari baada ya kusaini makubaliano hayo  mkuu wa kitengo kikubwa cha wateja bw FILBERT MPONZI  amesema bank yao ina tambua  umuhimu wa secta  ya kilimo  katika ukuaji wa uchumi wan chi  na hivyo kuchukua hatua madhubuti ili  kusaidia wakulima nchini.


Aidha ameongeza kuwa  NMB imewafikia wakulima Zaidi ya 600,000kwa kuwa saidia mitaji kwaajili ya uzalishaji  wa mazao ya kilimo,napi wana saidia wakulima wakubwa ili wawezekukua Zaidi na katika mipango ya  uwajibikaji kwa jamii wameendelea kutoa  elimu kwa wajasilia mali kupitia mafunzo mbalimbali ili waweze kukuza mitaji .




Mkuu wa kitengo cha wateja wakubwa wa NMB- Filbert Mponzi amesema kuwa benki inatambua umuhimu wa sekta ya kilimo 













No comments