FLASHMO AJIPANGA KUNDONDOSHA ALBAM MPYA
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani anayefahamika kwa jina la FlashMo anayetamba na ngoma kali za Dancehall Let mi go, Light post pamoja na Lion step ameweka wazi kuwa hivi karibuni anadondosha Albam yake ya muziki
Amefunguka kuwa albam hiyo ni kali sana na anatarajia kuitoa hivi karibuni.
FlashMo anaendelea kuvishukuru vyombo vyote vya habari Kwa ushirikiano hapa nchini Tanzania.
Post a Comment