RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA UONGOZI BARAZA LA HABARI TANZANIA (MCT) IKULU LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yuusuf (kulia kwa Rais) na Katibu Mtendaji wa (MCT) Ndg. Kajubi Mukajanga, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-12-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa upande wa Zanzibar Bi.Shifaa Hassan, akitowa maelezo ya Machapisho ya Vitabu mbalimbali vinavyotolewa na (MCT) kabla ya kukabidhiwa, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yake na Uongozi wa (MCT) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-12-2022 kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)
Post a Comment