Ads

Habari Picha Ofisa udahili wa TCU atembelea banda la chuocha kodi maonesho ya vyuo vikuu Mnazi mmoja.

 

Ofisa Udahili na Usajili, Pascal Gomba, (kulia) akiangalia mteja akisaini kitabu cha wageni baada ya kufika katika banda hilo la Chuo cha Kodi katika Maonesho ya 17 ya vyuo mbalimbali vinavyo dhaminiwa na TCU yanayoendelea  katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

Mmoja ya mwanafunzi akipokea kipeperushi kutoka kwa Ofisa wa Chuo cha Kodi  wakipata utaratibu wa kujiunga na chuo hicho baada ya kutembelea banda lao  katika Maonesho ya 17 ya vyuo mbalimbali vinavyo dhaminiwa na TCU yanayoendelea  katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.


Ofisa Udahili na Usajili, Pascal Gomba, (kushoto) akimkabidhi kipeperushi  mmoja ya mkazi wa jijini Dar es Salaam baada ya kutembelea banda la la Chuo cha Kodi katika maonesho ya 17 ya vyuo mbalimbali vinavyoendelea  katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. 







Ofisa Udahili na Usajili, Pascal Gomba, (kushoto) akifafanuajambo mbele ya wateja waliotembelea banda lao la Chuo cha Kodi katika maonesho ya 17 ya vyuo mbalimbali  vinavyo dhaminiwa na TCU yanayoendelea     katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

No comments