Ads

DC JOKATE WATAKA WANANCHI KUYATUMIA MAONESHO YA SABASABA KAMA FURSA YA KUJIONGEZEA KIPATO.

 


Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo amewataka wananchi katika eneo hilo kuyatumia vyema maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa ili kujiongezea fursa mbalimbali na hatimae kujikwamua kiuchumi.


DC Jokate ametoa kauli hiyo leo Jijini Dar es Salaam wakati akizindua rasmi safari za mabasi ya Mwendokasi kwa ajili ya Wananchi watakaokuwa wakitembelea kwenye maonesho hayo ya Biashara.

Amesema Serikali imekuwa ikiweka mazingira wezeshi hususani kwa Wafanyabiashara Wakubwa na Wadogo kuweza kujiimarisha zaidi.

No comments