Kiongozi wa Ukraine katika Jeshi la "1st Operational Batallion of Ukraine-Azov" Senior Liutenant Dunikov Denis Alexandrovich ameuliwa na Majeshi ya Russia.
Ni baada ya kutupwa Mabomu takribani 20 katika kambi moja ya jeshi iliyopo katika mji wa Mariupol. Jamaa ameliwa za kichwa, kwisha habari yake
Post a Comment