Ads

MCHIMBAJI WA MADINI NGAILLO ALIVYOSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA NNE YA KIMATAIFA YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI.

 

Chesco Ngaillo  ambaye ni mmoja wa wachimbaji wadogo kutoka Wilayani Songwe mkoani Mbeya amesema kuwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) ndilo linalo weza kuandaa vikundi kwa wachimbaji wadogo ilikuweza vikundi hivyo kukopesheka kwenye mabenki. 

Chesco amesema hatua hiyo inaweza kuwa mkombozi kwa kuwa wachimbaji wadogo imekuwa ni hali ngumu kukopesheka.

No comments