Ads

PICHA KIKAO CHA KAMATI YA MAMBO YA NJE NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

 


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Mussa Zungu akizungumza katika kikao cha Kamati kilichokutana Bungeni Jijini Dodoma. Kamati hiyo ilikutana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kujadili utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

 


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.

 






Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, wakiwa katika kikao cha Kamati kilichokutana Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilikutana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kujadili utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

 

PICHA NA OFISI YA BUNGE, DODOMA

No comments