Ads

JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA MHUDUMU WA BAA





Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu Justini Silivini (24) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka binti wa miaka 21 ambaye ni mhudumu wa baa


Oktoba 20, 2020 mshtakiwa alifika katika baa iliyopo Mtaa wa Afya Katoro ambapo alimshika mkono na kumvuta akiwa na kisu mkononi hadi pembeni mwa baa na kuanza kufanya kitendo hicho


Binti alipiga kelele zilizopelekea watu kufika na kumkamata Silivini ambaye alifikishwa Kituo cha Polisi Katoro

No comments