Ads

NANI KUTWAA ZAWADI HIZI TV inch 55, PS5, Laptop Na Mashine Ya Kufulia?

 


Hatimaye Promosheni ya “KALIKULIKO” imefika ukingoni swali ni je nani kuondoka na zawadi hizi TV inch 55, PS5, Laptop na Mashine ya Kufulia? Promosheni ya KALIKULIKO ilianza rasmi 1/8/2021 na itahitimu rasmi 28/8/2021.

Siku ya 28/8/2021 majina ya wateja wote wa simu za Infinix NOTE 10, NOTE 10pro, HOT 10t, HOT 10play na HOT 10i yataingizwa kwenye droo kubwa la bahati. Droo hili la bahati litachezeshwa mtangazani Maarufu kutoka Clouds FM Meena Ally.

Lengo kuu la Promosheni ya KALIKULIKO ni kuikutanisha Kampuni ya simu za Infinix na wadau wa simu za Infinix kwa pamoja ili kusherehekea mwezi wa Infinix kwa mwaka huu wa 2021 ambao ni mwezi wa 8.

Siku ya mwisho ya Mwezi wa Infinix au naweza sema promosheni ya KALIKULIKO kunogeshwa na wacheza ngoma za asili, mashindano ya mchezo wa danadana na live performance kutoka kwa washindi wa Infinix Star Alliance.

 Meneja wa Promosheni Bwana Joseph Vigambo, amesema kuwa jisogeze karibu na maduka ya Infinix siku ya kesho zawadi zitatoka kwa njia mbalimbali ili kuhakikisha kila mteja wa simu za Infinix haondoki mikono mitupu, wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya KALIKULIKO.

Amesema kuwa “Huu ni mwezi wa Infinix kwa wanafamilia ya Infinix, Infinix imetenga zawadi hizi na kuzitaja ticket za movie na shopping voucher kwa wateja 20 wa kwanza, Microwave, toaster, rice cooker pamoja na discount ya kibabe haijawai kutokea popote pale unachotakiwa kufanya nunua simu husika zilizopo kwenye promosheni hii ya KALIKULIKO”.

 Amefafanua kuwa uwezo wa NOTE 10 PRO na HOT 10t  kamera za mbele ina sifa 16MP, 8MP na flash 2, kamera ya nyuma  sifa yake Ai (64MP+8MP+2MP+2MP) na 48MP+2MP+AI LENS, Battery ni 5000mAh 33 Wh na 5000mAh, Processo Helio G95 na G 70.

Amesema kuwa kwa HOT 10 play na  HOT 10i sifa zake camera ya mbele  8MP na flash, 8MP na flash, kamera ya nyuma ni  (13MP+Ai portrait) flash 4, (13MP + 2MP) flash 4, bettery 6000mAh na 6000mAh, memory GB (4Ram + 64Rom) na GB (2Ram + 64Rom), Processor ni Helio G35 na Helio G70.

No comments