FURSA KWA WATOTO : LIFE SKILLS PROGRAM
Wazazi pamoja na Walezi wenye
watoto kuanzia miaka 9 hadi 16 wanatangaziwa kuwaleta watoto wao kwa ajili ya kushiriki
katika mafunzo maalumu ya mpango wa stadi za maisha itakayofanyika Agosti 28 hadi 29 mwaka huu maeneo ya Mikocheni kwa Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katika mafunzo hayo watoto watafundishwa mada nne ambazo ni tabia ya kula kiafya (Heathy eating), usafi wa
uzazi (Repruductive hygiene), kukuza upendo wa kibinafsi (Cultivating Self
Love) pamoja na kuogelea (Swimming).
Washiriki wote wanatakiwa
kujisajili kwa kulipa gharama ya sh. 35,000
kwa Bi. Hilda Ngaja kupitia namba ya simu 0765 670 746.
Watoto wote Mnakaribishwa.
Post a Comment