Infinix kuzawadia wateja wa lnfinix NOTE 10 Zawadi za Eid
Kampuni ya simu za mkononi Infinix bado inaendelea kuwapa raha wateja wake kupitia kurasa ya Instagram @infinixmobiletz imewajuza wateja wake kuhusu ile promosheni ya Big Mnyana ambapo awamu hii wateja wa Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro watapata nafasi ya kushuhudia michezo mbalimbali ikiwemo ngoma za asili, kuimba kutoka kwenye vikundi mbalimbali vya Sanaa.
Imeelezwa kwa ukinunua Infinix NOTE 10 tunazawadiwa zawadi hapo hapo ikiwemo blenda, Jagi La Umeme, Wireless Earphone Na Music System.
Lakini pia kama ilivyo awali wateja wa kwanza wa Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro kuzawadiwa papo hapo blenda, jagi la umeme, wireless earphone, discount ya sh.40,000 na music system.
Infinix NOTE 10 Big Mnyama
ilianza rasmi 13/7/2021 na itaendelea hadi 26/7/2021 katika maduka yote ya simu
yenye promosheni ambayo ni Infinix Smart Hub China Plaza Kariakoo, Infinix
Smart Hub Mlimani n.k.
Infinix NOTE 10 ni simu
mpya inayotamba sokoni kutokana na uwezo wake wa processor ya MediaTek Helio
G95 ambayo inaifanya simu hii kuwa nyepesi na yenye kuendesha application za
simu hiyo kwa haraka na wepesi pasipo kupata moto.
Infinix NOTE 10 inaaminika
kuwa simu sahihi kwa vijana hasa wanafunzi kutokana na GB 8 ya Ram na GB 128 ya
Rom kuwa na nafasi ya kutosha kwajili ya kuhifadhi masomo lakini pia ni simu
sahihi kwa mfanyakazi wa ofisini kamera ya Infinix yenye MP 64 nyuma inauwezo
wa kuscan documenti.
Usipitwe na ofa hizi tembelea maduka ya Infinix Smart Hub Kariakoo na Infinix Smart Hub Mlimani City kuanzia tarehe leo 20/7/2021 au piga namba 0744606222.
Post a Comment