Kituo cha CORNWELL Tanzania kinatoa huduma kwa gharama nafuu sabasaba.
Daktari wa tiba mbadala wa kituo cha CORNWELL Tanzania Elizabeth Lema , akiwahudumia wateja walifikas bandani kwake.
Na Mwamba wa habari
Daktari wa tiba mbadala wa kituo cha CORNWELL Tanzania Elizabeth Lema ,anawakaribisha Wananchi wote wanaotembelea maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa yanayo fanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) Kilwa road jijini Dar es salaam ili waweze kupata vipimo ,tiba na ushari wa kiafya.
'Dawa asili ni virutubisho tunakupa vitu ambavyo vitakusaidia ili uweze kupona mfano tunachai za wenye kisukari , za wenye presha hivi na vya kula dawa vina saidia sana mwlini"
Amesema katika maonesho haya wanafanya matibu na Dawa zote ziko katika ofa ya saba saba wameweka clinic ndogo wanafanya vipimo kwa nusu bei.
Tembelea banda lao katika banda lao namba kumi katika jengo la Kilimanjaro lilipo katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa yanayo fanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) Kilwa road jijini Dar es salaam.
Post a Comment