MUSEVEN KAAPISHWA TENA KUWA RAIS UGANDA
Rais Yoweri Museveni ameapishwa kwa mara ya sita mfululizo kuliongoza Taifa hilo hadi mwaka 2026 katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Kololo Nchini humo. Museveni amekuwa Kiongozi wa Uganda tangu mwaka 1986 Sherehe za uapisho zimehudhuriiwa na Viongozi takriban 11 wa Mataifa mbalimbali barani Afrika wakiwamo Samia Suluhu wa Tanzania, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe
Post a Comment