RAIS SAMIA ATETA NA MWAKILISHI MKAZI WA WA BENKI YA DUNIA HAPA NCHINI BI. MARA WARWICK IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara
Warwick alipokutana naye Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatatu
Aprili 19, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimkaribisha Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick
alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
leo Jumatatu Aprili 19, 2021
Post a Comment