SIMBA SC MABINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO(ASFC) MSIMU WA 2019-2020.
Mabingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, Simba SC wametwaa taji la Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC) msimu wa 2019-2020 baada ya ushimdi wa bao 2-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mchezo huo uliokuwa wa aina yake ambapo Simba SC ilianza mchezo kwa kasi nakufanikiwa kupata mabao mawili yaliyofungwa na Mshambuliaji wake, Luis Miquissone huku bao la pili likifungwa na Nahodha John Raphael Bocco.

Post a Comment