RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKULIMA NANENANE LEO 4/8/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 4/8/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Kilimo JKU Kanali Jabir Saleh Simba, wakati akitembelera maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (kulia kwa Rais) Kaimu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Ufundi Wakala wa Serikali Huduma za Matreka na Kilimo Zanzibar Ndg. Mohammed Omar Mohammed na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasiliu Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala Mabodi.(Picha na Ikulu)
Post a Comment