Ads

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASALI MISA YA UTATU MTAKATIFU KATIKA PAROKIA YA MTAKATIFU BIKIRA MARIA IMACULATA CHAMWINO IKULU LEO TAREHE 7 JUNI 2020


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 7 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati alipokuwa akiendesha Harambee ya Papo kwa papo kwa ajili ya upanuzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu
Bikira Maria Imaculata Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 7 Juni 2020. Katika Harambee hiyo jumla ya Shilingi Milioni 17 zilipatikana pamoja na mifuko 76 ya Saruji na Mhe. Rais Magufuli alichanga peke yake kiasi cha
Shilingi Milioni 10.


Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata
Chamwino Paulo Mapalala akishukuru mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuendesha Harambee iliyofanikisha kupatikana kiasi cha ya Shilingi Milioni 17 pamoja na
mifuko 76 ya Saruji.

No comments