MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA ILALA AKABIDHI BATI TAWI LA MWEMBE KARATA.
Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vingunguti Mhe. Omary Kumbilamoto amekabidhi mabati 10 kwaajili ya kupauwa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Tawi la Mwembe Karata Kata.
Mhe Kumbilamoto ametimiza moja ya sehemu yake ya ahadi kwa viongozi wa Tawi hilo la Mwembe Karata.
Bati hizo zimepokelewa na Viongozi wa Tawi la Mwembe Karata zikishuhudiwa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Ilala Cde. Hemed Mndeme.
Post a Comment