MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma kwa wagonjwa wa Coroma, Machi 28, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo na wa pili kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua wodi za hospitali ya wilaya ya Kibaha iliyopo eneo la Lulanzi ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wa Corona Machi 28, 2020. Kushto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilio. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment