Ads

Mhe Bashungwa apokea ujumbe toka China wenye nia ya kununua dhahabu ya Tanzania

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) amepokea ujumbe kutoka Shanghai Gold Exchange kutoka china  uliongozwa na Mr. Guo Wenshuo Makamu wa Rais wa Shanghai Gold Exchange. 

Ujumbe huo umezuru nchini Tanzania ukiwa umekuja kuangali utaratibu wa ununuzi wa dhahabu ya Tanzania na kuangalia namna ya kuzifanyia uchenjuaji hapa hapa nchini.

No comments