Ads

MAADHIMISHO YA MAONESHO YA NNE YA WIKI YA VIWANDA SADC.

Wizara ya viwanda na biashara inawakaribisha wananchi wote katika wiki ya maadhimisho ya maonesho ya nne ya wiki ya viwanda ya Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Africa (SADC).

Maadhimisho na maonesho hayo yatafanyika kauanzia tarehe 5 hadi 8 Agost 2OI9 katika kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Viwanja vya Karimjee na Gymkhana jijini Dar es Salaam.

Wananchi wote mnakaribishwa kujionea fursa za biashara na Uwekezaji zilizopo katika nchi I6 wanachama wa SADC.

No comments