Ads

JR SAOURA YASAFISHA NJIA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABIGWA AFRIKA

Klabu ya Saoura ya Algeria imefanikiwa kuichapa AS Vita kwa bao 1-0 katika mchezo wa Makundi Ligi ya Mabingwa barani afrika.

Kufatia ishindi wa Saoura  inaleta hauweni kwa klabu ya Simba kubaki katika nafasi ya pili Kundi D na kufufua matumaini ya Simba kufuzu hatua ya robo, huku AS Vita ikivuta mkia katika kundi hilo.

Kwa sasa, kablu ya Al Ahly ambayo imepokea kichapo cha bao moja kwa kwa nunge kutoka kwa Simba  inaongoza kwa kuwa na pointi saba, ikifuatiwa na Simba yenye sita na Saoura ina nne wakati Vita wako mkiani na pointi nne.

No comments