TMA YAENDESHA WARSHA KWA WAANDISHI WA HABARI.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendesha warsha kwa waandishi wa habari kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kufanya kazi zao kwa ufanisi katika kuandaa taarifa za hali ya hewa hapa nchini.
Warsha hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo waandishi wamepata fursa kujua mambo mbalimbali ya utabiri wa hali ya hewa katika TMA.
Waandishi wa habari wakiwa katika warsha iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Meneja wa kituo Kikuu cha utabiri TMA Bw. Samwel Mbuya na Dk. Ladslaus Chang’a kulia wakifuatilia uwasilishaji wa mada kutoka kwa Bw. Elias Mpiki kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa wakati akifanya uwasilishaji wa mada kwa waandishi wa habari.
Waandishi wa habari pamoja na wafanyakazi wa TMA wakiwa katika picha ya pamoja.
Post a Comment