Ads

MABIGWA WATETEZI SPORTPESA WATUPWA NJE KWENYE MICHUANO.



Mabigwa watetezi Gor Mahia wametolewa katika michuano wa sportspesa baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Mbao FC.

Mbao fc wamewatoa mabigwa hao kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 kumalizika kila timu ikipata bao moja.

No comments