FIFA YAMTIA KIFUNGO MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA SOKA.

Kamati
ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limetangaza
kumfungia Michael Wambura maisha.Kifungo hicho kinamfanya Wambura
kutojihusisha na soka maisha.
Michael
Wambura alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka nchini
TFF katika uchaguzi mkuu wa mwezi Julai mwaka 2017, kabla ya kufungiwa
na shirikisho hilo mwaka uliopita kwa tuhuma za matumizi mabaya ya
fedha.
Alikata rufaa Mahakamani, ambapo Mahakama iliamuru kurejeshwa katika nafasi yake mwishoni mwa mwaka uliopita lakini TFF ilikata rufaa FIFA.
Alikata rufaa Mahakamani, ambapo Mahakama iliamuru kurejeshwa katika nafasi yake mwishoni mwa mwaka uliopita lakini TFF ilikata rufaa FIFA.

Post a Comment