BENKI YA TPB YAANDAA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA AFRIKA MASHARIKI
Uongozi wa Benki ya TPB wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mkutano wa mabenki ya akiba Afrika Mashariki. Mkutano huo uliofanyika Zanzibar ulijumuisha wajumbe kutoka benki ya akiba Uganda na Kenya. Dhumuni la mkutano huo ni kujadili changamoto pamoja na fursa mbalimbali zilizopo katika nchi za Afrika Mashariki kupitia benki za akiba nchini humo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki ya TPB Bw Sabasaba Moshingi,
akichangia hoja katika mkutano mkuu wa benki za akiba afrika mashariki,
uliofanyika mwishoni mwa wiki Mjini Zanzibar.
Post a Comment