Ads

Basi La Simba Lapata Ajali Zambia

 
 
Basi la klabu ya soka ya Simba ambalo limebeba mashabiki wa timu hiyo kwenda mjini Kitwe Zambia limepata ajali baada ya kugongana na roli maeneo ya Kapiri Mposhi. 
Imeelezwa kuwa hakuna madhara makubwa yaliyotokea. Simba itacheza na Nkana FC kesho

No comments