Ads

Wabunifu Mna Nafasi kubwa kukuza Utamaduni Wetu:Dkt Mwakyembe.

Mshauri wa Umoja wa Mafundi Cherehani Dodoma Bw.Christopher Mullemwa akitoa maelezo mafupi kuhusu umoja huo leo Jijini Dodoma (UMACHEDO)  wakati alipokutana na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Wa kwanza kulia).
Kaimu Mkurugenzi Maendeleo ya Sanaa Bibi. Leah Kihimbi akizungumza wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia) alipokutana na Umoja wa mafundi Cherehani wa Dodoma (UMACHEDO)   leo Jijini humo.

No comments