Rayvanny Atimiza Agizo la BASATA Kuuzuia Wimbo Wake Youtube Usitazamwe
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioHCh8AmUh5j1NDjtndofAXxzeUfkL6zQgnD3xzHoPQtvls0S7tkVgudzqfI8DZFwW-lzXudA-TutcdqNVVaayDxgJFyMLe6H1DOlN-RvgmDd9D9RgH2UTnV0u8S9Ivv2c4_2r8T76qxg/s400/1.jpg)
Hatimaye msanii wa muziki nchini Rayvann ameamua kuutoa wimbo wake na Diamond Platnumz unaoitwa ‘Mwanza’ baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Wimbo
huo wa Mwanza uliopostiwa siku ya Jumamosi kwenye You Tube ulikuwa
unashika nafasi ya kwanza kwenye mtandao huo na kufanikiwa kutazamwa na
zaidi ya watu milioni 1.9.
Kwa
mujibu wa BASATA imewatoza jumla ya milioni tisa, ambapo
DiamondPlatnumz milioni tatu, Rayvanny milioni tatu na kampuni ya Wasafi
milioni tatu kwa kutoa wimbo usio na maadili ya kitanzania
Post a Comment