MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA
Mwambawahabari
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu
wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akisalimiana na watumishi wa Kampuni
ya Magazeti ya Serikali (TSN) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya
Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji
Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akitembelea mabanda mbalimbali
wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar
es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu
wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akimsikiliza Afisa wa Mamlaka
ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wakati alipotembelea maonesho ya
42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu
wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akisoma gazeti la Uhuru wakati alipotembelea
maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu
wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia samaki walioandaliwa tayari
kwa kitoweo wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara
ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu
wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia bwawa la kisasa la kufugia
samaki wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara
ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu
wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia nguo zinazotengenezwa na wawekezaji
wa Ukanda Maalum wa Uzalishaji wa Bidhaa kwa Mauzo ya Nje wakati alipotembelea
maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu
wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi wa
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati alipotembelea maonesho ya
42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi wa Shirika la Posta wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa (Standard Gauge) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji
Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi
wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakati alipotembelea maonesho ya 42
ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu
wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akizungumza na watumishi wa Shirika la
Ndege Tanzania (ATC) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa
ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.
Picha na MAELEZO
Post a Comment